Jumatatu ya 4 ya Kwaresima
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 65:17-21Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 30:1, 3-5, 10-12Nitakutukuza, ee Bwana, kwa maana umeniinua.
Ee Bwana, nitakutukuza kwa maana umeniinua,
Wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu.
Umeniinua nafsi yangu,
Ee Bwana, kutoka kuzimu.
Umenihuisha na kunitoa
Miongoni mwao washukao shimoni.
K. Nitakutukuza, ee Bwana, kwa maana umeniinua.
Mwimbieni Bwana zaburi,
Enyi watauwa wake.
Na kufanya shukrani.
Kwa kumbukumbu la utakatifu wake.
Maana ghadhabu zake ni za kitambo kidogo,
Katika radhi yake mna uhai.
Huenda kilio huja kukaa usiku,
Lakini asubuhi huwa furaha.
K. Nitakutukuza, ee Bwana, kwa maana umeniinua.
Ee Bwana, usikie, unirehemu,
Bwana, uwe msaidizi wangu.
Uligeuza matanga yangu kuwa machezo;
Ulinivua gunia, ukanivika furaha.
Ee Bwana, mungu wangu,
Nitakushukuru milele.
K. Nitakutukuza, ee Bwana, kwa maana umeniinua.
Shangilio la Injili
Eze 33:11Injili
Yn 4:43-54Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni