Sherehe ya Mt. Yosefu, Mume wa Bikira Maria
· Mwaka C
Somo la Kwanza
2Sam 7:4–5, 12–14, 16Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 89:1–4, 26, 28Wazao wake watadumu milele.
Fadhili za Bwana nitaziimba milele;
Kwa kinywa changu nitavijulisha vizazi vyote uaminifu wako.
Maana nimesema, Fadhili zitajengwa milele;
Katika mbingu utauthibitisha uaminifu wako.
K. Wazao wake watadumu milele.
Nimefanya agano na mteule wangu,
Nimemwapia Daudi, mtumishi wangu.
Wazao wako nitawafanya imara milele,
Nitakijenga kiti chako cha enzi hata milele.
K. Wazao wake watadumu milele.
Yeye ataniita, Wewe baba yangu,
Mungu wangu na mwamba wa wokovu wangu.
Hata milele nitamwekea fadhili zangu,
Na agano langu litafanyika amini kwake.
K. Wazao wake watadumu milele.
Somo la Pili
Rum 4:13, 16–18, 22Naye aliamini kwa kutarajia yasiyoweza kutarajiwa, ilia pate kuwa baba wa mataifa mengi, kama ilivyonenwa, Ndivyo utakavyokuwa uzao wako. Kwa hiyo ilihesabiwa kwake kuwa ni haki.
Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 8:12Mimi ndimi nuru ya Ulimwengu, asema Bwana, Yeye anifuataye atakuwa na nuru ya uzima.
Aleluya
Injili
Mt 1:16, 18–21, 24Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni