Jumanne ya 1 ya Kwaresima
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 55:10-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 34:3-6, 15-18Wenye haki, Bwana anawaponya na taabu zao zote.
Mtukuzeni Bwana pamoja nami,
Na tuliadhimishe jina lake pamoja.
Nalimtafuta Bwana akanijibu,
Akaniponya na hofu zangu zote.
K. Wenye haki, Bwana anawaponya na taabu zao zote.
Wakamwelekea macho wakatiwa nuru,
Wala nyuso zao hazitaona haya.
Maskini huyu aliita, Bwana akasikia,
Akamwokoa na taabu zake zote.
K. Wenye haki, Bwana anawaponya na taabu zao zote.
Macho ya Bwana huwaelekea wenye haki,
Na masikio yaje hukielekea kilio chao.
Uso wa Bwana ni juu ya watenda mabaya,
Aliondoa kumbukumbu lao duniani.
K. Wenye haki, Bwana anawaponya na taabu zao zote.
Walilia, naye Bwana akasikia,
Akawaponya na taabu zao zote.
Bwana yu karibu nao waliovunjika moyo,
Na waliopondeka roho huwaokoa.
K. Wenye haki, Bwana anawaponya na taabu zao zote.
Shangilio la Injili
Zab 95:8Injili
Mt 6:7-15Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni