Jumatano ya 6 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Yak 1:19-27Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 15:1-5Ni nani atakayefanya maskani yake katika kilima chako kitakatifu, Ee Bwana?
Bwana, ni nani atakayekaa Katika hema yako?
Ni nani atakayefanya maskani yake Katika kilima chako kitakatifu?
Ni mtu aendaye kwa ukamilifu, Na kutenda haki.
Asemaye kweli kwa moyo wake,
K. Ni nani atakayefanya maskani yake katika kilima chako kitakatifu, Ee Bwana?
Asiyesingizia kwa ulimi wake.
Wala hakumtenda mwenziwe mabaya,
Wala hakumsengenya jirani yake.
Machoni pake mtu asiyefaa hudharauliwa,
Bali huwaheshimu wamchao
K. Ni nani atakayefanya maskani yake katika kilima chako kitakatifu, Ee Bwana?
Hakutoa fedha yake apate kula riba,
Hakutwaa rushwa amwangamize asiye na hatia.
Mtu atendaye mambo hayo Hataondoshwa milele.
K. Ni nani atakayefanya maskani yake katika kilima chako kitakatifu, Ee Bwana?
Injili
Mk 8:22-26Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni