Ijumaa ya 5 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Fal 11:29-32; 12:19Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 81:9-14Mimi ndimi Bwana Mungu wako Isikieni sauti yangu.
Usiwe na mungu mgeni ndani yako;
Wala usimsujudie mungu mwingine.
Mimi ndimi Bwana, Mungu wako,
Niliyekupandisha toka nchi ya Misri;
K. Mimi ndimi Bwana Mungu wako Isikieni sauti yangu.
Lakini watu wangu hawakuisikiliza sauti yangu,
Wala Israeli hawakunitaka.
Nikawaacha wakaenda kwa ukaidi wa mioyo yao,
Waenende katika mashauri yao.
K. Mimi ndimi Bwana Mungu wako Isikieni sauti yangu.
Laiti watu wangu wangenisikiliza,
Na Israeli angeenenda katika njia zangu;
Ningewadhili adui zao kwa upesi,
Na juu ya watesi wao ningegeuza mkono wangu;
K. Mimi ndimi Bwana Mungu wako Isikieni sauti yangu.
Shangilio la Injili
Mdo 16:14Ee Bwana ufungue moyo wetu, ili tuyatunze maneno ya Mwanao.
Aleluya.
Injili
Mk 7:31-37Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni