Kufa Shahidi Mt. Yohane
· Mwaka C
Somo la Kwanza
1 Kor 2:1-5Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 119:97-102Sheria yako, Ee Bwana, naipenda mno ajabu.
Sheria yako naipenda mno ajabu,
Ndiyo kutafakari kwangu mchana kutwa.
K. Sheria yako, Ee Bwana, naipenda mno ajabu.
Maagizo yako hunitia hekima kuliko adui zangu,
Kwa maana ninayo sikuzote.
K. Sheria yako, Ee Bwana, naipenda mno ajabu.
Ninazo akili kuliko wakufunzi wangu wote,
Maana shuhuda zako ndizo nizifikirizo.
K. Sheria yako, Ee Bwana, naipenda mno ajabu.
Ninao ufahamu kuliko wazee,
Kwa kuwa nimeyashika mausia yako.
K. Sheria yako, Ee Bwana, naipenda mno ajabu.
Nimeiepusha miguu yangu na kila njia mbaya,
Ili nilitii neno lako.
K. Sheria yako, Ee Bwana, naipenda mno ajabu.
Sikujiepusha na hukumu zako,
Maana Wewe mwenyewe umenifundisha.
K. Sheria yako, Ee Bwana, naipenda mno ajabu.
Shangilio la Injili
Mt 5:10Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; Maana ufalme wa mbinguni ni wao
Aleluya
Injili
Lk 4:16-30Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni