Ijumaa ya 1 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Sam 8:4-7, 10-22Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 89:15-18Fadhili zako, Ee Bwana, nitaziimba milele.
Heri watu wale waijuao sauti ya shangwe,
Ee Bwana, huenenda katika nuru ya uso wako.
Kwa jina lako hufurahi mchana kutwa,
Na kwa haki yako hutukuzwa.
K. Fadhili zako, Ee Bwana, nitaziimba milele.
Maana fahari ya nguvu zao ni Wewe,
Na kwa radhi yako pembe yetu itatukuka.
Maana ngao yetu ina Bwana,
Na mfalme wetu ni wake Mtakatifu wa Israeli.
K. Fadhili zako, Ee Bwana, nitaziimba milele.
Shangilio la Injili
Lk 7:16Nabii mkuu ametokea kwetu, na Mungu amewaambia watu wake.
Aleluya.
Injili
Mk 2:1-12Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni