Jumanne Baada ya Epifania
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Yoh 4:7-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
72:1-2, 3-4, 7-8Mataifa yote ya dunia watakusujudia ,Ee Bwana
Ee Mungu, mpe mfalme hukumu zako.
Na mwana wa mfalme haki yako.
Atawaamua watu wako kwa haki,
Na watu wako walioonewa kwa hukumu.
K. Mataifa yote ya dunia watakusujudia ,Ee Bwana
Milima itawazalia watu amani,
Na vilima navyo kwa haki.
Atawahukumu walioonewa wa watu,
Atawaokoa wahitaji, atamseta mwenye kuonea.
K. Mataifa yote ya dunia watakusujudia ,Ee Bwana
Siku zake yeye, mtu mwenye haki atasitawi,
Na wingi wa Amani hata mwezi utakapokoma
Na awe na enzi toka bahari hata bahari,
Toka mto hata miisho ya dunia
K. Mataifa yote ya dunia watakusujudia ,Ee Bwana
Shangilio la Injili
ShangilioNaye Yesu alikuwa akihubiri Habari njema ya ufalme, na kuponya ugonjwa na udhaifu wa kila namna katika watu.
Aleluya.
Injili
Mk 6:34-44Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni