Jumatano ya 3 ya Majilio
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 45:6-8, 18-25Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 85:8a, 9-13Dondokeni, enyi mbingu, toka juu, Mawingu na yamwage haki
Na nisikie atakavyosema Mungu Bwana,
Maana atawaambia watu wake amani,
Hakika wokovu wake u karibu na wamchao,
Utukufu ukae katika nchi yetu.
K. Dondokeni, enyi mbingu, toka juu, Mawingu na yamwage haki
Fadhili na kweli zimekutana,
Haki na amani zimehusiana.
Kweli imechipuka katika nchi,
Haki imechungulia kutoka mbinguni.
K. Dondokeni, enyi mbingu, toka juu, Mawingu na yamwage haki
Naam, Bwana atatoa kilicho chema,
Na nchi yetu itatoa mazao yake.
Haki itakwenda mbele zake,
Nayo itazifanya hatua zake kuwa njia.
K. Dondokeni, enyi mbingu, toka juu, Mawingu na yamwage haki
Shangilio la Injili
Isa 40:9–10Paza sauti kwa nguvu, Wewe uhubiriye habari njema; Tazameni, Bwana Mungu atakuja kama shujaa.
Aleluya.
Injili
Lk 7:19-23Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni