Alhamisi ya 21 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
1 Kor 1:1-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 145:2-7Ee Bwana, nitalihimidi jina lako milele na milele.
Kila siku nitakuhimidi, Nitalisifu jina lako milele na milele.
Bwana ndiye mkuu mwenye kusifiwa sana, Wala ukuu wake hautambulikani.
K. Ee Bwana, nitalihimidi jina lako milele na milele.
Kizazi kwa kizazi kitayasifu matendo yako, Kitayatangaza matendo yako makuu.
Nitaifikiri fahari ya utukufu wa adhama yako, Na matendo yako yote ya ajabu.
K. Ee Bwana, nitalihimidi jina lako milele na milele.
Watu watayataja matendo yako ya kutisha, Nami nitausimulia ukuu wako.
Watalihubiri kumbukumbu la wema wako mkuu. Wataiimba haki yako.
K. Ee Bwana, nitalihimidi jina lako milele na milele.
Shangilio la Injili
Mt 24:42a, 44Kesheni basi; kwa kuwa katika saa msiyodhani Mwana wa Adamu yuaja.
Aleluya
Injili
Mt 24:42-51Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni