Ijumaa ya 33 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Mak 4:36-37,52-59Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
1Nya 29:10-12Tulisifu jina lako tukufu, Ee Bwana.
Uhimidiwe, Ee Bwana,
Mungu wa Israeli baba yetu,
Milele na milele.
K. Tulisifu jina lako tukufu, Ee Bwana.
Ee Bwana, ukuu ni wako,
Na uweza, na utukufu, na kushinda, na enzi.
Utajiri na heshima hutoka kwako.
K. Tulisifu jina lako tukufu, Ee Bwana.
Wewe watawala juu ya vyote,
Na mkononi mwako mna uweza na nguvu,
Tena mkononi mwako mna kuwatukuza,
Na kuwawezesha wote.
K. Tulisifu jina lako tukufu, Ee Bwana.
Shangilio la Injili
ShangilioBwana anasema: Siwaiti tena watumwa, lakini ninyi nimewaita rafiki, kwa kuwa yote niliyoyasikia kwa Baba yangu nimewaarifu.
Aleluya.
Injili
Lk 19:45-48Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Betram Mushi · 19 Novemba 2021
Milele....Amina...Tumshukuru..Mungu.