Jumamosi ya 31 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Rum 16:3-9, 16, 22-27Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 145:2-5, 10-11Nitalihimidi jina lako milele, Ee Bwana.
Kila siku nitakuhimidi,
Nitalisifu jina lako milele na milele.
Bwana ndiye mkuu mwenye kusifiwa sana,
Wala ukuu wake hautambulikani.
K. Nitalihimidi jina lako milele, Ee Bwana.
Kizazi kwa kizazi kitayasifu matendo yake,
Kitayatangaza matendo yake makuu.
Nitaifikiri fahari ya utukufu wa adhama yako,
Na matendo yako yote ya ajabu.
K. Nitalihimidi jina lako milele, Ee Bwana.
Ee Bwana, kazi zako zitakushukuru,
Na wacha Mungu wako watakuhimidi.
Wataunena utukufu wa ufalme wako,
Na kuuhadithia uweza wako.
K. Nitalihimidi jina lako milele, Ee Bwana.
Shangilio la Injili
Yn 17:17Neno lako ndiyo kweli, Ee Bwana, ututakase kwa ile kweli.
Aleluya.
Injili
Lk 16:9-15Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (3)
Betram Mushi · 6 Novemba 2021
Milele....Amina...Tumshukuru..Mungu.
Melkiory Masanja · 6 Novemba 2021
jitahid kuweka na tafakari basi
PETRO NYANKOI · 7 Novemba 2021
Sifa kwako ee Kristo