Jumatano ya 30 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Rum 8:26-30Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 13:3-6Nimezitumainia fadhili zano, Ee Bwana.
Ee Bwana, Mungu wangu, uangalie, uniitikie;
Uyatie nuru macho yangu,
Nisije nikalala usingizi wa mauti.
Adui yangu asije akasema, Nimemshinda;
Watesi wangu wasifurahi ninapoondoshwa.
K. Nimezitumainia fadhili zano, Ee Bwana.
Nami nimezitumainia fadhili zako;
Moyo wangu na uufurahie wokovu wako.
Naam, nimwimbie Bwana,
Kwa kuwa amenitendea kwa ukarimu.
K. Nimezitumainia fadhili zano, Ee Bwana.
Injili
Lk 13:22-30Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Francis Mwania · 29 Oktoba 2021
Neno la kweli hongera