Jumamosi ya 20 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Eze 43:1-7Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 85:8-13Utukufu wa Bwana ukae katika nchi yetu.
Na nisikie atakavyosema Mungu Bwana, Maana atawaambia watu wake amani,
Hakika wokovu wake u karibu na wamchao, Utukufu ukae katika nchi yetu.
K. Utukufu wa Bwana ukae katika nchi yetu.
Fadhili na kweli zimekutana, Haki na amani zimehusiana.
Kweli imechipuka katika nchi, Haki imechungulia kutoka mbinguni.
K. Utukufu wa Bwana ukae katika nchi yetu.
Naam, Bwana atatoa kilicho chema, Na nchi yetu itatoa mazao yake.
Haki itakwenda mbele zake, Nayo itazifanya hatua zake kuwa njia.
K. Utukufu wa Bwana ukae katika nchi yetu.
Shangilio la Injili
Mt 23:9b, 10bBaba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni, kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo.
Aleluya
Injili
Mt 23:1-12Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni