Jumanne ya 29 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Rum 5:12, 15, 17-21Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 40:6-9, 17Tazama nimekuja, Ee Bwana. Kuyafanya mapenzi yako.
Dhabihu na matoleo hukupendezwa nazo,
Masikio yangu umeyazibua,
Kafara na sadaka za dhambi hukuzitaka.
Ndipo niliposema, Tazama nimekuja,
K. Tazama nimekuja, Ee Bwana. Kuyafanya mapenzi yako.
Katika gombo la chuo nimeandikiwa,
Kuyafanya mapenzi yako,
Ee Mungu wangu, ndiyo furaha yangu;
Naam, sheria yako imo moyoni mwangu.
K. Tazama nimekuja, Ee Bwana. Kuyafanya mapenzi yako.
Nimehubiri habari za haki katika kusanyiko kubwa.
Sikuizuia midomo yangu; Ee Bwana, unajua.
K. Tazama nimekuja, Ee Bwana. Kuyafanya mapenzi yako.
Nami ni maskini na mhitaji,
Bwana atanitunza.
Ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu,
Ee Mungu wangu, usikawie.
K. Tazama nimekuja, Ee Bwana. Kuyafanya mapenzi yako.
Shangilio la Injili
Yn 10:27Kondoo wangu waisikia sauti yangu, nami nawajua, nao wanifuata.
Aleluya.
Injili
Lk 12:35-38Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Betram Mushi · 19 Oktoba 2021
Milele....Amina...tumshukuru..Mungu.