Alhamisi ya 28 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Rum 3:21-30Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 130:1-6Kwa Bwana kuna fadhili na ukombozi mwingi.
Ee Bwana, toka vilindini nimekulilia,
Bwana, uisikie sauti yangu.
Masikio yako na yaisikilize,
Sauti ya dua zangu.
K. Kwa Bwana kuna fadhili na ukombozi mwingi.
Bwana, kama Wewe ungehesabu maovu,
Ee Bwana, nani angesimama?
Lakini kwako kuna msamaha,
Ili Wewe uogopwe.
K. Kwa Bwana kuna fadhili na ukombozi mwingi.
Nimemngoja Bwana, roho yangu imemngoja;
Na neno lake nimelitumainia.
Nafsi yangu inamngoja Bwana,
Kuliko walinzi waingojavyo asubuhi,
Naam, walinzi waingojao asubuhi.
K. Kwa Bwana kuna fadhili na ukombozi mwingi.
Shangilio la Injili
Zab 119:28,33Unitie nguvu sawasawa na neno lako, Ee Bwana, unifundishe njia ya amri zako.
Aleluya.
Injili
Lk 11:47-54Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Betram Mushi · 14 Oktoba 2021
Milele....Amina...tumshukuru..Mungu.