Jumanne ya 26 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Zek 8:20-23Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 87Mungu yu pamoja nasi
Msingi wake upo Juu ya milima mitakatifu.
Bwana ayapenda malango ya Sayuni Kuliko maskani zote za Yakobo.
Umetajwa kwa mambo matukufu, Ee Mji wa Mungu.
K. Mungu yu pamoja nasi
Nitataja Rahabu na Babeli Miongoni mwao wanaonijua.
Tazama Filisti, na Tiro, na Kushi; Huyu alizaliwa humo.
Naam, mintarafu Sayuni itasemwa,
Huyu na huyu alizaliwa humo. Na Yeye Aliye juu Ataufanya imara.
K. Mungu yu pamoja nasi
Bwana atahesabu, awaandikapo mataifa, Huyu alizaliwa humo.
Waimbao na wachezao na waseme, Visima vyangu vyote vimo mwako.
K. Mungu yu pamoja nasi
Shangilio la Injili
Zab 119:105Neno lako ni taa ya miguu yangu, na mwanga wa njia yangu.
Aleluya.
Injili
Lk 9:51-56Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Esther Kinyanjui · 28 Septemba 2021
Asante kwa kutupa nafasi ya kusoma neno la mungu kila siku. Nitawasawishi wakristu wengine kuisoma injili kila wakati. Baraka tele kwenu.