Alhamisi ya 24 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Tim 4:12-16Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 111:7-10Matendo ya Bwana ni makuu.
Matendo ya mikono yake ni kweli na hukumu,
Maagizo yake yote ni amini,
Yamethibitika milele na milele,
Yamefanywa katika kweli na adili.
K. Matendo ya Bwana ni makuu.
Amewapelekea watu wake ukombozi,
Ameamuru agano lake liwe la milele,
Jina lake ni takatifu la kuogopwa.
K. Matendo ya Bwana ni makuu.
Kumcha Bwana ndio mwanzo wa hekima,
Wote wafanyao hayo wana akili njema,
Sifa zake zakaa milele.
K. Matendo ya Bwana ni makuu.
Injili
Lk 7:36-50Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Betram Mushi · 16 Septemba 2021
Milele....Amina...tumshukuru..Mungu.