Jumanne ya 22 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
1The 5:1-6, 9-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 27:1, 4, 13-14Naamini ya kuwa nitauona wema wa Bwana katika nchi ya walio hai.
Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu,
Nimwogope nani?
Bwana ni ngome ya uzima wangu,
Nimhofu nani?
K. Naamini ya kuwa nitauona wema wa Bwana katika nchi ya walio hai.
Neno Moja nimelitaka kwa Bwana,
Nalo ndilo nitakalolitafuta,
Nikae nyumbani mwa Bwana Siku zote za maisha yangu,
Niutazame uzuri wa Bwana, Na kutafakari hekaluni mwake.
K. Naamini ya kuwa nitauona wema wa Bwana katika nchi ya walio hai.
Naamini ya kuwa nitauona wema wa Bwana Katika nchi ya walio hai.
Umngoje Bwana, uwe hodari,
Upige moyo konde, naam, umngoje Bwana.
K. Naamini ya kuwa nitauona wema wa Bwana katika nchi ya walio hai.
Injili
Lk 4:31-37Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni