Dominika ya 22 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kum 4:1-2, 6-8Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 15:1-5Bwana, ni nani atakayekaa katika hema yako?
Bwana, ni nani atakayefanya maskani yake
Katika kilima chako kitakatifu?
Ni mtu aendaye kwa ukamilifu?
Ni mtu aendaye kwa ukamilifu,
Na kutenda haki;
Asemaye kweli kwa moyo wake.
K. Bwana, ni nani atakayekaa katika hema yako?
Ni yeye ambaye hakumtenda mwenziwe mabaya,
Wala hakumsengenya jirani yake.
Machoni pake mtu asiyefaa hudharauliwa,
Bali huwaheshimu wamchao Bwana.
K. Bwana, ni nani atakayekaa katika hema yako?
Ni yeye ambaye hayabadili maneno yake,
Ingawa ameapa kwa hasara yake.
Ambaye hakutoa fedha yake apate kula riba,
Wala hakutwaa rushwa amwangamize asiye na hatia.
Mtu atendaye mambo hayo hataondoshwa milele.
K. Bwana, ni nani atakayekaa katika hema yako?
Somo la Pili
Yak 1:17-18, 21-22, 27Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 6:63, 68Bwana, maneno yako ni roho, tena ni uzima, Wewe unayo maneno ya uzima wa milele.
Aleluya.
Injili
Mk 7:1-8, 14-15, 21-23Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (2)
Martha John · 29 Agosti 2021
Good
Martha John · 29 Agosti 2021
Good