Dominika ya 21 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Yos 24: 1-2, 15-18Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 34:1-2, 15-22Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema.
Nitamhimidi Bwana kila wakati,
Sifa zake zi kinywani mwangu daima.
Katika Bwana nafsi yangu itajisifu,
Wenyenyekevu wasikie wakafurahi.
K. Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema.
Macho ya Bwana huwaelekea wenye haki,
Na masikio yake hukielekea kilio chao.
Uso wa Bwana ni juu ya watenda mabaya,
Aliondoe kumbukumbu lao duniani.
K. Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema.
Walilia, naye Bwana akasikia,
Akawaponya na taabu zao zote.
Bwana yu karibu nao waliovunjika moyo,
Na waliopondeka roho huwaokoa.
K. Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema.
Mateso ya mwenye haki ni mengi,
Lakini Bwana humponya nayo yote.
Huihifadhi mifupa yake yote,
Haukuvunjika hata mmoja.
K. Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema.
Uovu utamwua asiye haki,
Nao wamchukiao mwenye haki watahukumiwa,
Bwana huzikomboa nafsi za watumishi wake,
Wala hawatahukumiwa wote wamkimbiliao.
K. Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema.
Somo la Pili
Efe 5: 21-32Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn. 14: 23Mtu akinipenda, atalishika neno langu; Na Baba yangu atampenda; Nasi tutakuja kwake.
Aleluya.
Injili
Yn. 6: 60-69Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni