Alhamisi ya 20 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Amu 11:29-39Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 40:4, 6-9Tazama ee Bwana, nimekuja. Kuyafanya mapenzi yako.
Heri aliyemfanya Bwana kuwa tumaini lake,
Wala hakuwaelekea wenye kiburi,
Wala hao wanaogeukia uongo.
K. Tazama ee Bwana, nimekuja. Kuyafanya mapenzi yako.
Dhabihu na matoleo hukupendezwa nazo,
Masikio yangu umeyazibua,
Kafara na sadaka za dhambi hukuzitaka.
Ndipo niliposema, Tazama nimekuja,
K. Tazama ee Bwana, nimekuja. Kuyafanya mapenzi yako.
(Katika gombo la chuo nimeandikiwa,)
Kuyafanya mapenzi yako, Ee Mungu wangu,
ndiyo furaha yangu;
Naam, sheria yako imo moyoni mwangu.
K. Tazama ee Bwana, nimekuja. Kuyafanya mapenzi yako.
Nimehubiri habari za haki katika kusanyiko kubwa.
Sikuizuia midomo yangu; Ee Bwana, unajua.
K. Tazama ee Bwana, nimekuja. Kuyafanya mapenzi yako.
Shangilio la Injili
1 Thes 2:13Lipokeeni neno la Mungu, siyo kama neno la wanadamu, bali kama neno la Mungu.
Aleluya
Injili
Mt 22:1-14Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni