Dominika ya 18 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kut. 16:2-4, 12-15Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 78:3-4, 23-25, 54Akawanyeshea mana ili wale; akawapa nafaka ya mbinguni.
Mambo tuliyosikia na kuyafahamu,
Ambayo baba zetu walituambia.
Hayo hatutawaficha wana wao,
Huku tukiwaambia kizazi kingine,
Sifa za Bwana, na nguvu zake.
K. Akawanyeshea mana ili wale; akawapa nafaka ya mbinguni.
Lakini aliyaamuru mawingu juu;
Akaifungua milango ya mbinguni;
Akawanyeshea mana ili wale;
Akawapa nafaka ya mbinguni.
K. Akawanyeshea mana ili wale; akawapa nafaka ya mbinguni.
Mwanadamu akala chakula cha mashujaa;
Aliwaplekea chakula cha kuwashibisha.
Akawapeleka hadi mpaka wake mtakatifu,
Mlima alionunua kwa mkono wake wa kuume.
K. Akawanyeshea mana ili wale; akawapa nafaka ya mbinguni.
Somo la Pili
Ef 4:17, 20-24Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
1Sam 3:9; Yn 6:68Nena, Bwana, kwa kuwa mtumishi wako anasikia; Wewe unayo maneno ya uzima wa milele.
Aleluya.
Injili
Yn. 6:24-35Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Aidan Tarimo · 1 Agosti 2021
Neno la Bwana lidumu katika ndimi za ulimi wetu na kutuongoza katika shughuli na safari yetu hapa duniani. Mbarikiwe wenye tovuti hii kwa kutupa chakula cha bwana "Neno".