Ijumaa ya 17 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Law 23:1,4-11, 15-16,27, 34-37Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 8:2-5, 9-10Mwimbieni Mungu, nguvu zetu, nyimbo za furaha.
Pazeni zaburi, pigeni matari,
Kinubi chenye sauti nzuri, na kinanda.
Pigeni panda mwandamo wa mwezi,
Wakati wa mbalamwezi, sikukuu yetu.
K. Mwimbieni Mungu, nguvu zetu, nyimbo za furaha.
Kwa maana ni sheria kwa Israeli,
Ni hukumu ya Mungu wa Yakobo.
Aliamuru iwe ushuhuda katika Yusufu,
Alipoondoka juu ya nchi ya Misri;
Maneno yake nisiyemjua naliyasikia.
K. Mwimbieni Mungu, nguvu zetu, nyimbo za furaha.
Usiwe na mungu mgeni ndani yako;
Wala usimsujudie mungu mwingine.
Mimi ndimi Bwana, Mungu wako,
Niliyekupandisha toka nchi ya Misri;
Fumbua sana kinywa chako nami nitakijaza.
K. Mwimbieni Mungu, nguvu zetu, nyimbo za furaha.
Shangilio la Injili
1The 2:13Lipokeeni neno la Mungu, siyo kama neno la wanadamu, bali kama neno la Mungu.
Aleluya.
Injili
Mt 13:54-58Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni