Jumatano ya 16 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kut 16:1-5, 9-15Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 78:18-19, 23-28Bwana aliwapa nafaka ya mbinguni.
Wakamjaribu Mungu mioyoni mwao
Kwa kutaka chakula kwa tamaa zao.
Naam, walimwambia Mungu, wakasema,
Je! Mungu aweza kuandika meza jangwani?
K. Bwana aliwapa nafaka ya mbinguni.
Lakini aliyaamuru mawingu juu;
Akaifungua milango ya mbinguni;
Akawanyeshea mana ili wale;
Akawapa nafaka ya mbinguni.
K. Bwana aliwapa nafaka ya mbinguni.
Mwanadamu akala chakula cha mashujaa;
Aliwapelekea chakula cha kuwashibisha.
Aliuelekeza upepo wa mashariki mbinguni;
Akaiongoza kusi kwa uweza wake.
K. Bwana aliwapa nafaka ya mbinguni.
Akawanyeshea nyama kama mavumbi,
Na ndege wenye mbawa,
Kama mchanga wa bahari.
Akawaangusha kati ya matuo yao,
Pande zote za maskani zao.
K. Bwana aliwapa nafaka ya mbinguni.
Shangilio la Injili
ShangilioMbegu ni neno la Mungu, anayepanda ni Kristu, atakayemkuta, ataishi milele.
Aleluya.
Injili
Mt 13:1–9Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni