Dominika ya 12 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ayu 38:1,8-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 107:23-24, 25-26, 28-29,30-31(1b)Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele.
Washukao baharini katika merikebu,
Wafanyao kazi yao katika maji mengi,
Hao huziona kazi za Bwana,
Na maajabu yake vilindini.
K. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele.
Maana husema, akavumisha upepo wa dhoruba,
Ukayainua juu mawimbi yake.
Wapanda mbinguni, watelemka vilindini,
Nafsi yao yayeyuka kwa hali mbaya.
K. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele.
Wakamlilia Bwana katika dhiki zao,
Akawaponya na shida zao.
Huituliza dhoruba, ikawa shwari,
Mawimbi yake yakanyamaza.
K. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele.
Ndipo walipofurahi kwa kuwa yametulia
Naye huwaleta mpaka bandari waliyoitamani.
Na wamshukuru Bwana kwa fadhili zake,
Na maajabu yake kwa wanadamu.
K. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele.
Somo la Pili
2Kor 5:14-17Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 14:6Mimi ndimi njia na ukweli na uzima asema Bwana: Mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi
Aleluya
Injili
Mk 4:35-41Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni