Sherehe ya Mwili na Damu Takatifu ya Bwana Wetu Ye
· Mwaka B
Somo la Kwanza
Kut. 24 : 3-8Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 116:12-13, 15-18Nitakipokea kikombe cha wokovu; Na kulitangaza jina la Bwana.
Nimrudishie Bwana nini
Kwa ukarimu wake wote alionitendea?
Nitakipokca kikombe cha wokovu;
Na kulitangaza jina la Bwana.
K. Nitakipokea kikombe cha wokovu; Na kulitangaza jina la Bwana.
Ina thamani machoni pa Bwana
Mauti ya wacha Mungu wake.
Ee Bwana, hakika mimi ni mtumishi wako,
Umevifungua vifungo vyangu.
K. Nitakipokea kikombe cha wokovu; Na kulitangaza jina la Bwana.
Nitakutolea dhabihu ya kushukuru;
Na kulitangaza jina la Bwana;
Nitaziondoa nadhiri zangu kwa Bwana,
Naam mhplf va watu wake wote.
K. Nitakipokea kikombe cha wokovu; Na kulitangaza jina la Bwana.
Somo la Pili
Ebr. 9:11-15Na kwa sababu hii ni mjumbe wa agano jipya, ili, mauti ikiisha kufanyika kwa kukomboa makosa yaliyokuwa chini ya agano la kwanza, hao walioitwa waipokee ahadi ya urithi wa milele.
Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn. 6 :51Mimi ndimi chakula chenye uzima kilichoshuka kutoka mbinguni; asema Bwana; mtu akila chakula hiki, ataishi milele.
Aleluya.
Injili
Mk. 14 :12-16, 22-26Nao walipokuwa wakila, alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa akisema, Twaeni; huu ndio mwili wangu. Akatwaa kikombe, akashukuru, akawapa; wakakinywea wote. Akawaambia, Hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi. Amin, nawaambia ninyi, Sitakunywa tena kabisa uzao wa mzabibu, hata siku ile nitakapounywa mpya katika ufalme wa Mungu. Nao walipokwisha kuimba walitoka kwenda mlima wa Mizeituni.
Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni