Jumatatu ya 8 ya mwaka
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
YbS. 17 : 24-29Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 12 :1-2,5-7Mfurahieni Bwana, shangilieni, enyi wenye haki.
Heri aliyesamehewa dhambi,
Na kusitiriwa makosa yake.
Heri Bwana asiyemhesabia upotovu.
Ambaye rohoni mwake hamna hila.
K. Mfurahieni Bwana, shangilieni, enyi wenye haki.
Nalikujulisha dhambi yangu,
Wala sikuuficha upotovu wangu.
Nalisema, Nitayakiri maasi yangu kwa Bwana,
Nawe ukanisamehe upotovu wa dhambi yangu.
K. Mfurahieni Bwana, shangilieni, enyi wenye haki.
Kwa hiyo kila mtu mtauwa
Akuombe wakati unapopatikana.
Hakika maji makuu yafurikapo,
Hayatamfikia yeye.
Ndiwe sitara yangu, utanihifadhi na mateso,
utanizungusha nyimbo za wokovu.
K. Mfurahieni Bwana, shangilieni, enyi wenye haki.
Shangilio la Injili
Zab. 147:12,15Msifu Bwana, ee Yerusalemu, huipeleka amri yake juu ya nchi.
Aleluya.
Injili
Mk. 10:17-27Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni