Kupaa kwa Bwana Mbinguni
· Mwaka B
Somo la Kwanza
Mdo 1:1-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 47: 1-2, 5-6, 7-8Mungu amepaa kwa kelele za shangwe, Bwana kwa sauti ya baragumu.
Enyi watu wote, pigeni makofi,
Mpigieni Mungu kelele kwa Sauti ya shangwe.
Kwa kuwa Bwana Aliye juu, mwenye kuogofya,
Ndiye mfalme mkuu juu ya dunia yote.
K. Mungu amepaa kwa kelele za shangwe, Bwana kwa sauti ya baragumu.
Mungu amepaa kwa kelele za shangwe,
Bwana kwa sauti ya baragumu.
Mwimbieni Mungu, naam, imbeni;
Mwimbieni mfalme wetu, naam, imbeni.
K. Mungu amepaa kwa kelele za shangwe, Bwana kwa sauti ya baragumu.
Maana Mungu ndiye mfalme wa dunia yote,
Imbeni kwa akili.
Mungu awamiliki mataifa,
Mungu ameketi katika kiti chake kitakatifu.
K. Mungu amepaa kwa kelele za shangwe, Bwana kwa sauti ya baragumu.
Somo la Pili
Efe 1:17-23Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Mt 28:19-20Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote
Aleluya
Injili
Mk 16:15-20Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni