Alhamisi ya 6 ya Pasaka
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo. 18 :1-8Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 98: 1-4Bwana ameufunua wokovu wake, Machoni pa mataifa: au: Aleluya.
Mwimbieni Bwana wimbo mpya,
Kwa maana ametenda mambo ya ajabu.
Mkono wa kuume wake mwenyewe,
Mkono wake mtakatifu umemtendea wokovu.
K. Bwana ameufunua wokovu wake, Machoni pa mataifa: au: Aleluya.
Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake.
Amezikumbuka rehema zake,
Na uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli.
K. Bwana ameufunua wokovu wake, Machoni pa mataifa: au: Aleluya.
Miisho yote ya dunia imeuona
Wokovu wa Mungu wetu.
Mshangilieni Bwana, nchi yote,
Inueni sauti, imbeni kwa furaha, imbeni zaburi.
K. Bwana ameufunua wokovu wake, Machoni pa mataifa: au: Aleluya.
Shangilio la Injili
Lk 24:25-26Ilimpasa Kristo kupata mateso haya na kuingia katika utukufu wake.
Aleluya.
Injili
Yn. 16: 16-20Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni