Jumatano ya 4 ya Pasaka
· Mwaka B · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 12:24-13:5Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 67:1-2, 4, 5, 7Watu na wakushukuru, Ee Mungu, Watu wote na wakushukuru.
Mungu na atufadhili na kutubariki,
Na kutuangazia uso wake.
Njia yake ijulikane duniani,
Wokovu wake katikati ya mataifa yote.
K. Watu na wakushukuru, Ee Mungu, Watu wote na wakushukuru.
Mataifa na washangilie,
Naam, waimbe kwa furaha,
Maana kwa haki utawahukumu watu,
Na kuwaongoza mataifa walioko duniani.
K. Watu na wakushukuru, Ee Mungu, Watu wote na wakushukuru.
Watu na wakushukuru, Ee Mungu,
Watu wote na wakushukuru.
Mungu atatubariki sisi;
Miisho yote ya dunia itamcha Yeye.
K. Watu na wakushukuru, Ee Mungu, Watu wote na wakushukuru.
Shangilio la Injili
Yn 10:14Mimi ndimi mchungaji mwema,
Nao walio wangu nawajua, nao walio wangu wanijua mimi.
Aleluya.
Injili
Yn 12:44-50Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni