Dominika ya 2 ya Pasaka
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 4:32-35Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 118:2-4, 16-18, 22-24Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele
Israeli na aseme sasa,
Ya kwamba fadhili zake ni za milele.
Mlango wa Haruni na waseme sasa,
Ya kwamba fadhili zake ni za milele.
Wamchao Bwana na waseme sasa,
Ya kwamba fadhili zake ni za milele.
K. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele
Mkono wa kuume wa Bwana umetukuzwa;
Mkono wa kuume wa Bwana hutenda makuu.
Sitakufa bali nitaishi,
Nami nitayasimulia matendo ya Bwana.
Bwana ameniadhibu sana,
Lakini hakuniacha nife.
K. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele
Jiwe walilolikataa waashi
Limekuwa jiwe kuu la pembeni.
Neno hili limetoka kwa Bwana,
Nalo ni ajabu machoni petu.
Siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana,
Tutashangilia na kuifurahia.
K. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele
Somo la Pili
1Yoh 5:1-6Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 20:29Yesu akamwambia Tomaso, wewe, kwa kuwa kuwa umeniona, umesadiki; wa heri wale wasioona wakasadiki
Aleluya.
Injili
Yn 20:19-31Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni