Jumanne ya Oktava ya Pasaka
· Mwaka B
Somo la Kwanza
Mdo 2:36-41Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 33:4-5, 18-20, 22Kwa kuwa neno la Bwana lina adili,
Na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu.
Huzipenda haki na hukumu,
Nchi imejaa fadhili za Bwana.
(K)Nchi imejaa fadhili za Bwana
Tazama, jicho la Bwana li kwao wamchao,
Wazingojeao fadhili zake.
Yeye huwaponya nafsi zao na mauti,
Na kuwahuisha wakati wa njaa.
(K)Nchi imejaa fadhili za Bwana
Nafsi zetu zinamngoja Bwana;
Yeye ndiye msaada wetu na ngao yetu.
Ee Bwana, fadhili zako zikae nasi,
Kama vile tulivyokungoja Wewe.
(K)Nchi imejaa fadhili za Bwana
Shangilio la Injili
Zab 118:24Siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana, Tutashangilia na kuifurahia.
Aleluya.
Injili
Yn 20:11-18Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni