Dominika ya Pasaka
· Mwaka B
Somo la Kwanza
Mdo 10:34, 37-43Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 118:1-2, 16-17, 22-23Siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana, Tutashangilia na kuifurahia.
Aleluya.
Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema
kwa maana fadhili zake ni za milele.
Israeli na aseme sasa,
Ya kwamba fadhili zake ni za milele. (K)
K. Siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana, Tutashangilia na kuifurahia.
Mkono wa kuume wa Bwana umetukuzwa;
Mkono wa kuume wa Bwana hutenda makuu.
Sitakufa bali nitaishi,
Nami nitayasimulia matendo ya Bwana. (K)
K. Siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana, Tutashangilia na kuifurahia.
Jiwe walilolikataa waashi
Limekuwa jiwe kuu la Pembeni.
Neno hili limetoka kwa Bwana,
Nalo ni ajabu machoni petu (K)
K. Siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana, Tutashangilia na kuifurahia.
Somo la Pili
Kol 3:1-4Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
AleluyaKristo, Paska wetu amekwisha kutolewa sadaka; Basi natuifanye karamu katika Bwana!
Aleluya
Injili
Yn 20:1-9Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni