Ijumaa ya 5 ya Kwaresima
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Yer 20:10-13Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 18:1-6Katika shida yangu nalimwita Bwana, akaisikia sauti yangu.
Wewe, Bwana, nguvu zangu, nakupenda sana;
Bwana ni jabali langu, na boma langu, na mwokozi wangu,
Mungu wangu, mwamba wangu ninayemkimbilia,
Ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, na ngome yangu.
Nitamwita Bwana astahiliye kusifiwa,
Hivyo nitaokoka na adui zangu.
K. Katika shida yangu nalimwita Bwana, akaisikia sauti yangu.
Kamba za mauti zilinizunguka,
Mafuriko ya uovu yakanitia hofu.
Kamba za kuzimu zilinizunguka,
Mitego ya mauti ikanikabili.
K. Katika shida yangu nalimwita Bwana, akaisikia sauti yangu.
Katika shida yangu nalimwita Bwana,
Na kumlalamikia Mungu wangu.
Akaisikia sauti yangu hekaluni mwake,
Kilio change kikaingia masikioni mwake.
K. Katika shida yangu nalimwita Bwana, akaisikia sauti yangu.
Shangilio la Injili
ShangilioInjili
Yn 10:31-42Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni