Dominika ya 5 ya Kwaresima
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Yer 31:31-34Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 51:1-2, 10-13Ee Mungu, uniumbie moyo safi.
Ee Mungu, unirehemu,
Sawasawa na fadhili zako.
Kiasi cha wingi wa rehema zako,
Uyafute makosa yangu.
Unioshe kabisa na uovu wangu,
Unitakase dhambi zangu.
K. Ee Mungu, uniumbie moyo safi.
Ee Mungu, uniumbie moyo safi,
Uifanye upya roho iliyotulia ndani yangu
Usinitenge na uso wako,
Wala roho yako mtakatifu usiniondolee.
K. Ee Mungu, uniumbie moyo safi.
Unirudishie furaha ya wokovu wako;
Unitegemeze kwa roho ya wepesi.
Nitawafundisha wakosaji njia zako,
Na wenye dhambi watarejea kwako.
K. Ee Mungu, uniumbie moyo safi.
Somo la Pili
Ebr 5:7-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 12:26Injili
Yn 12:20-33Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Bryson Tillya · 21 Machi 2021
Katika masomo yetu ya leo nimejifunza kuwa MUNGU alitupenda toka mwanzo akaweka agano lake na wana waisrael ambao walilivunja lakini akaweka agano lipya ambalo alimtuma mwanae wa pekee ili aweze kuwavuta watu wampoke MUNGU na yeye pia aweze kukamulisha agano la kale