Sikukuu ya Mt. Marta
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Yer 26:1-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 69:4, 7-9,13Kwa wingi wa fadhili zako unijibu, ee Bwana.
Wanaonichukia bure ni wengi Kuliko nywele za kichwa changu.
Watakao kunikatilia mbali wamekuwa hodari,
Adui zangu kwa sababu isiyo kweli.
Hata mimi nalilipishwa kwa nguvu Vitu nisivyovichukua.
K. Kwa wingi wa fadhili zako unijibu, ee Bwana.
Maana kwa ajili yako nimestahimili laumu, Fedheha imenifunika uso wangu.
Nimekuwa mgeni kwa ndugu zangu, Na msikwao kwa wana wa mama yangu.
Maana wivu wa nyumba yako umenila, Na laumu zao wanaokulaumu zimenipata.
K. Kwa wingi wa fadhili zako unijibu, ee Bwana.
Nami maombi yangu nakuomba Wewe, Bwana, Wakati ukupendezao;
Ee Mungu, Kwa wingi wa fadhili zako unijibu, Katika kweli ya wokovu wako.
K. Kwa wingi wa fadhili zako unijibu, ee Bwana.
Shangilio la Injili
Yn 8:12Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.
Aleluya
Injili
Mt 13:54-58Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni