Jumamosi baada ya Majivu
· Mwaka B · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa. 58:9b-14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 86:1-2, 3-4, 5-6Ee Bwana, unifundishe njia yako; Nitakwenda katika kweli yako.
Ee Bwana, utege sikio lako unijibu,
Maana mimi ni maskini na mhitaji,
Unihifadhi nafsi yangu,
Maana mimi ni mcha Mungu.
Wewe uliye Mungu wangu,
Umwokoe mtumishi wako anayekutumaini.
K. Ee Bwana, unifundishe njia yako; Nitakwenda katika kweli yako.
Wewe, Bwana, unifadhili,
Maana nakulilia Wewe mchana kutwa.
Uifurahishe nafsi ya mtumishi wako,
Maana nafsi yangu nakuinulia Wewe, Bwana.
K. Ee Bwana, unifundishe njia yako; Nitakwenda katika kweli yako.
Kwa maana Wewe, Bwana, U mwema,
Umekuwa tayari kusamehe,
Na mwingi wa fadhili,
Kw awatu wote wakuitao.
Ee Bwana, uyasikie maombi yangu;
Uisikilize sauti ya dua zangu.
K. Ee Bwana, unifundishe njia yako; Nitakwenda katika kweli yako.
Shangilio la Injili
Eze 33:11Injili
Lk 5:27-32Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni