Jumatatu ya 6 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mwa 4:1-15, 25Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 50:1, 8, 16–17, 20–21Umtolee Mungu dhabihu za kushukuru.
Mungu, Mungu Bwana, amenena, ameiita nchi,
Toka maawio ya jua hata machweo yake.
Sitakukemea kwa ajili ya dhabihu zako,
Na kafara zako ziko mbele zangu daima.
K. Umtolee Mungu dhabihu za kushukuru.
Bali mtu asiye haki, Mungu amwambia,
Una nini wewe kuitangaza sheria yangu,
Na kuliweka agano langu kinywani mwako?
Maana wewe umechukia maonyo,
Na kuyatupa maneno yangu nyuma yako.
K. Umtolee Mungu dhabihu za kushukuru.
Umekaa na kumsengenya ndugu yako,
Na mwana wa mama yako umemsingizia.
Ndivyo ulivyofanya, nami nikanyamaza,
Ukadhani ya kuwa Mimi ni kama wewe.
Walakini nitakukemea;
Nitayapanga hayo mbele ya macho yako.
K. Umtolee Mungu dhabihu za kushukuru.
Shangilio la Injili
1Sam 3:9Nena, Bwana, kwa kuwa mtumishi wako anasikia: Wewe unayo maneno ya uzima wa milele.
Aleluya.
Injili
Mk 8:11–13Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni