Jumatano ya 4 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ebr 12;4–7, 11–15Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 103:1–2, 13–14, 17–18Fadhili za Bwana zina wamchao tangu milele hata milele
Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana
Naam, vyote vilivyo ndani yangu
Vilihimidi jina lake takatifu.
Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana,
Wala usizisahau fadhili zake zote.
K. Fadhili za Bwana zina wamchao tangu milele hata milele
Kama vile baba awahurumiavyo watoto wake,
Ndivyo Bwana awahurumia wamchao.
Kwa maana yeye anatujua umbo letu
Na kukumbuka ya kuwa sisi tu mavumbi.
K. Fadhili za Bwana zina wamchao tangu milele hata milele
Fadhili za Bwana zina wamchao
Tangu milele na milele,
Na haki yake ina wana wa wana;
Wale washikao agano lake.
K. Fadhili za Bwana zina wamchao tangu milele hata milele
Shangilio la Injili
Yn 8:12Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, asema Bwana, yeye anifuataye hatakwenda gizani na kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.
Aleluya.
Injili
Mk 6:1-6Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni