Dominika ya 4 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kum 18:15-20Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 94:1-2, 6-9Ingekuwa heri leo msikie sauti yake. Msifanye migumu mioyo yenu.
Njoni tumwimbie Bwana,
Tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wetu.
Tuje mbele zake kwa shukrani,
Tumfanyie shangwe kwa zaburi.
K. Ingekuwa heri leo msikie sauti yake. Msifanye migumu mioyo yenu.
Njoni, tuabudu, tusujudu,
Tupige magoti mbele za Bwana aliyetuumba.
Kwa maana ndiye Mungu wetu,
Na sisi tu watu wa malisho yake,
Na kondoo za mkono wake.
K. Ingekuwa heri leo msikie sauti yake. Msifanye migumu mioyo yenu.
Ingekuwa heri leo msikie sauti yake!
Msifanye migumu mioyo yenu;
Kama vile huko Meriba,
Kama siku ile Masa jangwani.
Hapo waliponijaribu baba zenu,
Wakanipima, wakayaona matendo yangu.
K. Ingekuwa heri leo msikie sauti yake. Msifanye migumu mioyo yenu.
Somo la Pili
1Kor 7:32-35Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 15:15Siwaiti tena watumwa; Kwa maana mtumwa hajui atendalo Bwana wake, Lakini ninyi nimewaita rafiki, kwa kuwa yote niliyoyasikia kwa Baba yangu nimewaarifu.
Aleluya.
Injili
Mk 1:21-28Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
lini aloyce kimario · 31 Januari 2021
ubarikiwe sana