Dominika ya 17 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Mwa 18:20-32Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 138:1-3, 6-8Nitakushukuru kwa moyo wangu wote, Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.
Nitasujudu nikilikabili hekalu lako takatifu,
(K)Siku ile niliyokuita uliniitikia, Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu
Nitalishukuru jina lako, Kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako,
Kwa maana umeikuza ahadi yako, Kuliko jina lako lote.
Siku ile niliyokuita uliniitikia, Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu.
(K)Siku ile niliyokuita uliniitikia, Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu
Ingawa Bwana yuko juu, amwona mnyenyekevu,
Naye amjua mwenye kujivuna tokea mbali.
Nijapokwenda kati ya shida utanihuisha,
Utanyosha mkono juu ya hasira ya adui zangu,
(K)Siku ile niliyokuita uliniitikia, Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu
Na mkono wako wa kuume utaniokoa.
Bwana atanitimilizia mambo yangu;
Ee Bwana, fadhili zako ni za milele;
Usiziache kazi za mikono yako.
(K)Siku ile niliyokuita uliniitikia, Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu
Somo la Pili
Kol 2:12-14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 14:23Mtu akinipenda, atashika neno langu, na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake.
Aleluya
Injili
Lk 11:1-13Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni