Ijumaa ya 2 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ebr 8:6–13Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 85:7, 9–13Fadhili na kweli zimekutana.
Ee Bwana, utuonyeshe rehema zako,
Utupe wokovu wako.
Hakika wokovu wake u karibu na wamchao,
Utukufu ukae katika nchi yetu.
K. Fadhili na kweli zimekutana.
Fadhili na kweli zimekutana,
Haki na Amani zimebusiana.
Kweli imechipuka katika nchi,
Haki imechungulia kutoka mbinguni.
K. Fadhili na kweli zimekutana.
Naam, Bwana atatoa kilicho chema,
Na nchi yetu itatoa mazao yake.
Haki itakwenda mbele zake,
Nayo itazifanya hatua zake kuwa njia.
K. Fadhili na kweli zimekutana.
Shangilio la Injili
Efe 1:17, 18Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo, awape roho ya hekima mjue tumaini la mwito wake.
Aleluya.
Injili
Mk 3:13-19Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
projestus kabanza · 24 Januari 2021
Songa mbele mungu atatenda