Jumamosi baada ya Epifania
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Yn 5:14-21Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 149:1-6, 9Kwa kuwa Bwana awaridhia watu wake
Mwimbieni Bwana wimbo mpya,
Sifa zake katika kusanyiko la watauwa.
Israeli na amfurahie Yeye aliyemfanya,
Wana wa Sayuni na wamshangilie mfalme wao.
K. Kwa kuwa Bwana awaridhia watu wake
Na walisifu jina lake kwa kucheza,
Kwa matari na kinubi wamwimbie.
Kwa kuwa Bwana awaridhia watu wake,
Huwapamba wenye upole kwa wokovu.
K. Kwa kuwa Bwana awaridhia watu wake
Watauwa na waushangilie utukufu,
Waimbe kwa sauti kuu vitandani mwao.
Sifa kuu za Mungu na ziwe vinywani mwao,
Na upanga mkali kuwili mikononi mwao.
Kuwafanyia hukumu iliyoandikwa;
Hiyo ndiyo heshima ya watauwa wake wote.
K. Kwa kuwa Bwana awaridhia watu wake
Shangilio la Injili
Lk 7:16Nabii mkuu ametokea kwetu; Na Mungu amewaangalia watu wote
Aleluya
Injili
Yn 3:22-30Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni