Alhamisi ya 4 ya Majilio
· Mwaka B · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
2Sam 7:1-5, 8-11, 16Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 89:1-4, 27, 29Fadhili za Bwana nitaziimba milele.
Fadhili za Bwana nitaziimba milele;
Kwa kinywa changu nitavijulisha vizazi vyote uaminifu wako.
Maana nimesema, Fadhili zitajengwa milele;
Katika mbingu utauthibitisha uaminifu wako.
K. Fadhili za Bwana nitaziimba milele.
Nimefanya agano na mteule wangu,
Nimemuapia Daudi, mtumishi wangu.
Wazao wako nitawafanya imara milele,
Nitakijenga kiti chako cha enzi hata milele.
K. Fadhili za Bwana nitaziimba milele.
Nami nitamjalia kuwa mzaliwa wangu wa kwanza,
Kuwa juu sana kuliko wafalme wa dunia. .
Wazao wake nao nitawadumisha milele,
Na kiti chake cha enzi kama siku za mbingu.
K. Fadhili za Bwana nitaziimba milele.
Injili
Lk 1:67-79Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni