Ijumaa ya 3 ya Majilio
· Mwaka B · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Yer 23:5-8Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 72:1-2, 12-13, 18-19Siku zake yeye, mtu mwenye haki atasitawi, na wingi wa amani milele.
Ee Mungu, mpe mfalme hukumu zako,
Na mwana wa mfalme haki yako.
Atawaamua watu wako kwa haki,
Na watu wako walioonewa kwa hukumu.
K. Siku zake yeye, mtu mwenye haki atasitawi, na wingi wa amani milele.
Kwa maana atamwokoa mhitaji aliapo,
Na mtu aliyeonewa iwapo hana msaidizi.
Atamhurumia aliye dhaifu na masikini,
Na nafasi za wahitaji ataziokoa.
K. Siku zake yeye, mtu mwenye haki atasitawi, na wingi wa amani milele.
Na ahimidiwe Bwana, Mungu, Mungu wa Israeli,
Atendaye miujiza yeye peke yake;
Jina lake tukufu na lihimidiwe milele;
Dunia yote na ijae utukufu wake.
Amina na amina.
K. Siku zake yeye, mtu mwenye haki atasitawi, na wingi wa amani milele.
Shangilio la Injili
ShangilioEe kiongozi wa nyumba wa Israeli, uliyempa Musa amri zako juu yam lima Sinai, uje kutuokoa kwa mkono wako
Aleluya.
Injili
Mt 1:18:24Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni