Kumbukumbu ya Mt. Leo Mkuu, Papa na Mwalimu wa Kan
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Tit 2:1–8, 11–14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 37:3–4, 18, 23, 27, 29Wokovu wa wenye haki una Bwana.
Umtumaini Bwana ukatende mema,
Ukae katika nchi, upendezwe na uaminifu.
Nawe utajifurahisha kwa Bwana,
Naye atakupa haja za moyo wako.
K. Wokovu wa wenye haki una Bwana.
Bwana anazijua siku za wakamilifu,
Na urithi wao utakuwa wa milele.
Hatua za mtu zaimarishwa na Bwana,
Naye aipenda njia yake.
K. Wokovu wa wenye haki una Bwana.
Jiepue na uovu, utende mema,
Na kukaa hata milele.
Wenye haki watairithi nchi,
Nao watakaa humo milele.
K. Wokovu wa wenye haki una Bwana.
Shangilio la Injili
Zab 119:18Unifumbue macho yangu niyatazame maajabu yatokayo katika sheria yako.
Aleluya.
Injili
Lk 17:1-10Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni