Jumatatu ya 28 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Gal 4:22-24, 26-27, 31:5:1Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 113:1-7Aleluya
Enyi watumishi wa Bwana sifuni
Lisifuni jina la Bwana
Jina la Bwana lihimidiwe
Tangu leo na hata milele.
(K)Jina la bwana lihimidiwe milele
Toka mawio ya jua hata machweo yake
Jina la bwana husifiwa
Bwana ni mkuu juu ya mataifa yote
Na utukufu wake ni juu ya mbingu
(K)Jina la bwana lihimidiwe milele
Ni nani aliye mfano wa bwana
Mungu wetu aketiye juu
Anyenyekeaye kutazama
Mbinguni na duniani?
Humwinua mnyonge kutoka mavumbini
Na kumpandisha masikini toka jaani.
(K)Jina la bwana lihimidiwe milele
Shangilio la Injili
Zab 119:34Unifahamishe nami nitaishika sheria yako
Nitaitii kwa moyo wangu wote
Aleluya
Injili
Lk. 11:29-32Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni