Sikukuu ya Malaika Wakuu Gabriel, Mikaeli na Rafae
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Dan 7:9-10,13-14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 138:1-5Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.
Nitakushukuru kwa moyo wangu wote,
Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.
Nitasujudu nikilikabili hekalu lako takatifu.
K. Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.
Kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako,
Kwa maana umeikuza ahadi yako,
Kuliko jina lako lote.
Siku ile niliyokuita uliniitikia,
Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu.
K. Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.
Ee Bwana, wafalme wote wa dunia watakushukuru,
Watakapoyasikia maneno ya kinywa chako.
Naam, wataziimba njia za Bwana,
Kwa maana utukufu wa Bwana ni mkuu
K. Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.
Shangilio la Injili
Zab 105:3Mhimidini Bwana, enyi majeshi yake yote, ninyi watumishi wake mfanyao mapenzi yake.
Aleluya.
Injili
Yn 1:47-51Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni