Dominika ya 26 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Eze 18:25-28Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 25:4-9Kumbuka rehema zako, Ee Bwana.
Ee Bwana, unijulishe njia zako,
Unifundishe mapito yako;
Uniongoze katika kweli yako,
Na kunifundisha:
Maana Wewe ndiwe Mungu wa wokovu wangu.
K. Kumbuka rehema zako, Ee Bwana.
Ee Bwana, kumbuka rehema zako na fadhili zako.
Maana zimekuwako tokea zamani.
Usiyakumbuke makosa ya ujana wangu,
Wala mausi yangu,
Unikumbuke kwa kadiri ya fadhili zako,
Ee Bwana, kwa ajili ya wema wako.
K. Kumbuka rehema zako, Ee Bwana.
Bwana yu mwema, mwenye adili,
Kwa hiyo atawafundisha njia wenye dhambi.
Wenye upole atawaongoza katika hukumu.
Wenye upole atawafundisha njia yake.
K. Kumbuka rehema zako, Ee Bwana.
Somo la Pili
Flp 2:1-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 15:15Ninyi nimewaita rafiki, kwa kuwa yote niliyoyasikia kwa Baba yangu nimewaarifu.
Aleluya.
Injili
Mt 21:28-32Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (3)
Paul Aloyce · 27 Septemba 2020
Ujumbe wa leo ni mzuri sana. Unatutaka kuziacha njia zetu mbaya na kumrudia MUNGU wetu. Kwa maana MUNGU haangalii mwanzo wetu ila mwisho wetu. Ubarikiwe sana mpendwa katika Kristu.
Emanuel Lorry · 27 Septemba 2020
Amani ya munguu izidi tawala sasa na hatamilele.
Kelvin Malekela · 27 Septemba 2020
Nimejifunza kwamba kila mtu amwone mwenzake bora kuliko yeye